Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi
Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza
aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.
Kwenye kila darasa katika kila shule mara
zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa
hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo
hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian
International Séx School.
Shule hiyo hutoza £1,400 kwa temu moja, huku
kikitoa mafunzo hayo kwa njia ya nadhalia na
vitendo.
Wanafunzi wa shule hiyo huchanganywa na
kuishi kwenye hostel moja ambapo hushauliwa wasaidiane kufanya ‘assignments’ zao.
Mkuu wa shule hiyo - Ylva-Maria Thompson -
mtu ambaye huwezi mshangaa, ni nyota ya
filamu za ngono na ni mtangazaji wa vipindi
vya ngono kwenye TV.
Mwanamke huyo mwenye miaka 51 amesema:
‘Nia ni kuwafanya watu wawe wapenzi wazuri, kufahamu aina mbalimbali za mitindo ya kufanya
ngono, namna ya kumshughulikia mwenza wako, kuzifahamu sehemu nyeti za mwili na kuwafundisha
watu namna nzuri za ushiriki wa tendo la ngono.
Licha ya hivyo shule hiyo imekuwa ikipata vikwazo kadhaa, ambapo matangazo ya TV yanayoonyesha
watu wakifanya ngono yamepigwa marufuku,
huku wengi wakisema shule hiyo ipo kwa ajili ya
kufanya biashara ya ngono.