advert

http://

Saturday, 4 May 2013

TUME YA UCHAGUZI YA SSPRA{SAUT) YATANGAZA MATOKEO YA UONGOZI MPYA KATIKA NYANJA MBALIMBALI LEO.

Kamati ya uchaguzi ya sspra imetangaza matokeo ya viongozi wapya watakao endeleza chama 2013/2014.katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi nane kama vile,mwenyekiti,makamu mwenyekiti,katibu,makamu katibu,mwekahazina,mweka hazina msaidizi, Afisa habari na mahusiano, na makamu afisa habari na mahusiano.
            Akitangaza matokeo ya uchaguzi mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi mh. john odhilo amemtangaza Athanas sing'ambi kuwa mwenyekiti mpy wa sspra 2013/2014 kufuatia ushindi wa kula alizopata kufikia 76 na kumpita mpinzani wake Andrew geofrey aliyepata kura 14 na idadi ya wapiga kura walikuwa 90.
Aidha mwenyekiti aliongezea kwa kutaja nafasi zingine ambazo wagombea walikuwa wanagombea nazo ni kama zifuatazoaaa;
       KATIKA NGAZI YA MAKAMU MWENYEKITI
  Makura ndege alishinda nafasi hiyo kwa kura 59 na kumpita mgombea mwenza chenga alyepata kura 25 kati ya 84
KATIKA NGAZI YA KATIBU
   Mbwaga imani ameshinda nafasi iyo kwa kupata kura 66 na kumpita mgombea mwenza haule adam alyepata kura 22 kati ya 88.
KATIKA NGAZI YA MAKAMU KATIBU
Fura ephraim  ameshinda nafasi iyo kwa kupata kura 44 na kumpita mgombea mwenza joseph ichel alyepata kura 41 kati ya 85
KATIKA NGAZI MWEKAHAZINA
kyando ameshinda nafasi iyo kwa kupata kura 48 na kumpita mgombea mwenza munuo hosiana alyepata kura 36 kati ya 84
KATIKA NGAZI YA MWEKA HAZINA MSAIDIZI
wilson bahati ambaye ailikuwa mgombea peke yake katka nafasi hiyo ameweza kupata jura za ndiyo 82 kati ya wapiga kura 88.
KATIKA NGAZI YA AFISA MAHUSIANO
Athanas msota amameshinda nafasi iyo kwa kupata kura 75 na kumpita mgombea mwenza munuoemil alex aliyepata kura 14 kati ya 85
KATIKA NGAZI YA MAKAMU AFISA MAHUSIANO
Jesse edwin amameshinda nafasi iyo kwa kupata kura 69 na kumpita mgombea mwenza kalumbilo john aliyepata kura 39 kati ya 88

No comments: