advert

http://

Tuesday, 1 October 2013

MSANII WA BONGO FLEVA AFARIKI DUNIA


.

Msanii Na Producer wa Bongo Fleva Na Reggae Mack Malik Simba a.k.a MACK TO B Amefariki Dunia mapema leo asubuhi.

Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Amesema Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu kwa muda mrefu.
Amefia Nyumbani Kwao Yombo Abiola na anazikwa kesho saa 4asb. 

Mack TO THE B Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Sound Crafters akishirikiana na Enrico pamoja na bizman.

No comments: