Mheshimiwa padri dokta Pius Mgeni akiwahutubia wanajumuiya ya chuuo cha Saut jana katika uwanja wa Raila Odinga |
Katikati ni Mheshimiwa Askofu John Ndimbo akizungumza na Mkuu wa idara ya Taaluma Mheshimu padri dokta Mkamwa |
Mkuu wa kitengo cha post_graduate akitoa neno kwa wanajumuiya ya saut jana |
Meza kuu wakibadilishana mawazo jana katika siku ya wanajumuiya ya saut |
Hawa ni wanafunzi wa saut wakitumbuiza jana katika uwanja wa Raila Odinga |
Mshereheshaji akisoma ratiba ya sherehe jana |
Hawa ni wanakikundi cha The Winners akitumbuiza shairi mbele ya mgeni rasmi jana |
Baadhi ya wanafunzi wakiangalia maonyesho yaliyoandaliwa na wanachama wa SSPRA |
Kikundi cha The Winners wakiimba wimbo wa Snura uitwao Majanga |
Waandisi wakionyesha jinsi ya kutengeneza umeme wa nishati ya jua jana |
Hiki ni kibanda cha utalii wakiwaelekeza wanajamii wa saut masuala mbali mbali yanayohusiana na utalii kwa ujumla |
Wanafunzi wa kitivo cha Elimu wakiimba shairi jana mbele ya mgeni rasmi |
Hawa ni wanafunzi wa kitivo cha elimu na falsafa |
Huyu ni mwanafunzi wa Saut akichangia damu safi na salama jana |
Hawa ni baadhi ya wanachama wa idara ya kupambana na rushwa katika chuo kikuu cha Mt.Augustino |
Hawa ni wanachama wa AICSEC |
Wanafunzi wa kitivo cha sheria wakionyesha majarida mbali mbali ya haki za binadamu jana |
Wanafunzi wa somo la historia wakionysha zana mbalimbali ambazo zilikuwa zkitumiwa na binadamu hapo zamani za kale |
Wauguzi wa Hospitlali ya Bugando wakitoa huduma ya kupima virusi vya ukimwi jana |
Toka kulia ni Moses Nsuha akipima virusi vya ukimwi jana |
Wanafunzi wa kitivo cha uandisi wakiunganisha umeme wa nishati ya jua jana |
Wanafuzi wa Mawasiliano ya umma wakionysha njisi Redio Saut Fm inavyorusha matangazo yake kwa wasikilizaji |
Huyu ni mwanafunzi wa sut akichukua matukio ya jana moja kwa moja |
Wauguzi wa bugando wakiongea na mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga |
Mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga akiongea na Makamu Mkuu wa Chuo jana |
Hawa ni wajasiliamali wa kituo cha saut wakionyesha bidhaa mbalimbali katika maonyesho ya jana |
Mhadhiri wa somo la Uraia akizungumza kwa mgeni rasmi jana kuhusu faida za somo la uraia na historia |
Mshereshaji kutoka katika kitivo cha sayansi ya jamii |
Katikati ni Mwenyekiti wa SSPRA akiwa na wahadhiri idara ya masoko |
Mhadhiri Lila Mandu akitembelea katika banda la SSPRA |
Mwanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA |
Kiongozi wa serikali ya wanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA |
Hawa ni wanchama wa SSPRA wakiwa katika banda lao la maonyesho jana |
Mwenyekiti wa SSPRA akizungumza na wageni waliotembelea banda la SSPRA jana |
Wanacham wa SSPRA wakionyesha leso zilikuwa zimechapishwa nembo ya chuo cha Saut |
Katikati ni Mhadhili Mulongo akisikiliza maelekezo toka katikabanda la maonyesho la SSPRA |
Makamu mkuu wa chuo Padri pius mgeni akisoma kazi mbali mbali zilizochapishwa na SSPRA |
Kuoka kulia ni mwenyekti wa SSPRA akizungumza na mgeni rasmi alivyotembelea katika banda la maonyesho la sspra |
Wanachama wa SSPRA |
Makamu mkuu wa chuo akiweka saini kaitka banda la maonyesho la SSPRA katika kitabu cha orodha ya wageni |
Mgeni rasmi akizungumza na mwenyekiti wa SSPR jana |
Mwenyekiti wa SSPR akizungumza na mgeni rasmi jana |
Mwnyekiti wa Media and Publication akionyesha DVD ya mahafali ya mwaka wa tatu kwa waliotembelea katika banda hillo. |
Wanachama wa SSPRA |
Wanachama wa SSPRA |
Wanachama wa SSPRA |
Wanachama wa SSPRA |