advert

http://

Saturday, 30 November 2013

EVENTS OF THE COMMUNITY DAY CELEBRATIONS IN UNIVERSITY MT.AUGUSTINO MWANZA


Mheshimiwa padri dokta Pius Mgeni akiwahutubia wanajumuiya ya chuuo cha Saut jana katika uwanja wa Raila Odinga

Katikati ni Mheshimiwa Askofu John Ndimbo akizungumza na Mkuu wa idara ya Taaluma Mheshimu padri dokta Mkamwa

Mkuu wa kitengo cha post_graduate akitoa neno kwa wanajumuiya ya saut jana

Meza kuu wakibadilishana mawazo jana katika siku ya wanajumuiya ya saut

Hawa ni wanafunzi wa saut wakitumbuiza jana katika uwanja wa Raila Odinga

Mshereheshaji akisoma ratiba ya sherehe jana

Hawa ni wanakikundi cha The Winners akitumbuiza shairi mbele ya mgeni rasmi jana

Baadhi ya wanafunzi wakiangalia maonyesho yaliyoandaliwa na wanachama wa SSPRA


Kikundi cha The Winners wakiimba wimbo wa Snura uitwao Majanga

Waandisi wakionyesha jinsi ya kutengeneza umeme wa nishati ya jua jana

Hiki ni kibanda cha utalii wakiwaelekeza wanajamii wa saut masuala mbali mbali yanayohusiana na utalii kwa ujumla


Wanafunzi wa kitivo cha Elimu wakiimba shairi jana mbele ya mgeni rasmi

Hawa ni wanafunzi wa kitivo cha elimu na falsafa

Huyu ni mwanafunzi wa Saut akichangia damu safi na salama jana


Hawa ni baadhi ya wanachama wa idara ya kupambana na rushwa katika chuo kikuu cha Mt.Augustino

Hawa ni wanachama wa AICSEC

Wanafunzi wa kitivo cha sheria wakionyesha majarida mbali mbali ya haki za binadamu jana

Wanafunzi wa somo la historia wakionysha zana mbalimbali ambazo zilikuwa zkitumiwa na binadamu hapo zamani za kale

Wauguzi wa Hospitlali ya Bugando wakitoa huduma ya kupima virusi vya ukimwi jana

Toka kulia ni Moses Nsuha akipima virusi vya ukimwi jana 

Wanafunzi wa kitivo cha uandisi wakiunganisha umeme wa nishati ya jua jana


Wanafuzi wa Mawasiliano ya umma wakionysha njisi Redio Saut Fm inavyorusha matangazo yake kwa wasikilizaji

Huyu ni mwanafunzi wa sut akichukua matukio ya jana moja kwa moja



Wauguzi wa bugando wakiongea na mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga

 Mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga akiongea na Makamu Mkuu wa Chuo jana

Hawa ni wajasiliamali wa kituo cha saut wakionyesha bidhaa mbalimbali katika maonyesho ya jana

Mhadhiri wa somo la Uraia akizungumza kwa mgeni rasmi jana kuhusu faida za somo la uraia na historia

Mshereshaji kutoka katika kitivo cha  sayansi ya jamii

Katikati ni Mwenyekiti wa SSPRA akiwa na wahadhiri idara ya masoko

Mhadhiri Lila Mandu akitembelea katika banda la SSPRA

Mwanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA

Kiongozi wa serikali ya wanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA

Hawa ni wanchama wa SSPRA wakiwa katika banda lao la maonyesho jana



Mwenyekiti wa SSPRA akizungumza na wageni waliotembelea banda la SSPRA jana

Wanacham wa SSPRA wakionyesha leso zilikuwa zimechapishwa nembo ya chuo cha Saut

Katikati ni Mhadhili Mulongo akisikiliza maelekezo toka katikabanda la maonyesho la SSPRA

Makamu mkuu wa chuo Padri  pius mgeni akisoma kazi mbali mbali zilizochapishwa na SSPRA

Kuoka kulia ni mwenyekti wa SSPRA akizungumza na mgeni rasmi alivyotembelea katika banda la maonyesho la sspra

Wanachama wa SSPRA

Makamu mkuu wa chuo akiweka saini kaitka banda la maonyesho la SSPRA katika kitabu cha orodha ya wageni

Mgeni rasmi akizungumza na mwenyekiti wa SSPR jana

 Mwenyekiti wa SSPR akizungumza na mgeni rasmi jana

Mwnyekiti wa Media and Publication akionyesha DVD ya mahafali ya mwaka wa tatu kwa waliotembelea katika banda hillo.

Wanachama wa SSPRA

Wanachama wa SSPRA

Wanachama wa SSPRA

Wanachama wa SSPRA

No comments: