Timu ya wigani imechakua kombe la FA baada ya kuichapa man city bao 1-o
bao hiyo limewekwa kinyani na Ben Watson katika dakika ya 90" kabla ya mwamuzi kupuliza kipenga cha mwisho kuashilia mchezo umekwisha.hivyo man city wameachwa mdomo wazi na hawaamini kilichotokea
kushoto ni kocha wa wigan akishangilia ushindi na katikati ni wachezaji wa man city wakiangalia jinsi goli lilivyokuwa likingiia kinywani na kulia ben waston akichangilia goli alilofunga.
No comments:
Post a Comment