| Mheshimiwa padri dokta Pius Mgeni akiwahutubia wanajumuiya ya chuuo cha Saut jana katika uwanja wa Raila Odinga |
| Katikati ni Mheshimiwa Askofu John Ndimbo akizungumza na Mkuu wa idara ya Taaluma Mheshimu padri dokta Mkamwa |
| Mkuu wa kitengo cha post_graduate akitoa neno kwa wanajumuiya ya saut jana |
| Meza kuu wakibadilishana mawazo jana katika siku ya wanajumuiya ya saut |
| Hawa ni wanafunzi wa saut wakitumbuiza jana katika uwanja wa Raila Odinga |
| Mshereheshaji akisoma ratiba ya sherehe jana |
| Hawa ni wanakikundi cha The Winners akitumbuiza shairi mbele ya mgeni rasmi jana |
| Baadhi ya wanafunzi wakiangalia maonyesho yaliyoandaliwa na wanachama wa SSPRA |
| Kikundi cha The Winners wakiimba wimbo wa Snura uitwao Majanga |
| Waandisi wakionyesha jinsi ya kutengeneza umeme wa nishati ya jua jana |
| Hiki ni kibanda cha utalii wakiwaelekeza wanajamii wa saut masuala mbali mbali yanayohusiana na utalii kwa ujumla |
| Wanafunzi wa kitivo cha Elimu wakiimba shairi jana mbele ya mgeni rasmi |
| Hawa ni wanafunzi wa kitivo cha elimu na falsafa |
| Huyu ni mwanafunzi wa Saut akichangia damu safi na salama jana |
| Hawa ni baadhi ya wanachama wa idara ya kupambana na rushwa katika chuo kikuu cha Mt.Augustino |
| Hawa ni wanachama wa AICSEC |
| Wanafunzi wa kitivo cha sheria wakionyesha majarida mbali mbali ya haki za binadamu jana |
| Wanafunzi wa somo la historia wakionysha zana mbalimbali ambazo zilikuwa zkitumiwa na binadamu hapo zamani za kale |
| Wauguzi wa Hospitlali ya Bugando wakitoa huduma ya kupima virusi vya ukimwi jana |
| Toka kulia ni Moses Nsuha akipima virusi vya ukimwi jana |
| Wanafunzi wa kitivo cha uandisi wakiunganisha umeme wa nishati ya jua jana |
| Wanafuzi wa Mawasiliano ya umma wakionysha njisi Redio Saut Fm inavyorusha matangazo yake kwa wasikilizaji |
| Huyu ni mwanafunzi wa sut akichukua matukio ya jana moja kwa moja |
| Wauguzi wa bugando wakiongea na mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga |
| Mgemi rasmi Mheshimiwa Askofu John Ndimbo wa jimbo la Mbinga akiongea na Makamu Mkuu wa Chuo jana |
| Hawa ni wajasiliamali wa kituo cha saut wakionyesha bidhaa mbalimbali katika maonyesho ya jana |
| Mhadhiri wa somo la Uraia akizungumza kwa mgeni rasmi jana kuhusu faida za somo la uraia na historia |
| Mshereshaji kutoka katika kitivo cha sayansi ya jamii |
| Katikati ni Mwenyekiti wa SSPRA akiwa na wahadhiri idara ya masoko |
| Mhadhiri Lila Mandu akitembelea katika banda la SSPRA |
| Mwanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA |
| Kiongozi wa serikali ya wanafunzi wa Saut akitembelea katika banda la SSPRA |
| Hawa ni wanchama wa SSPRA wakiwa katika banda lao la maonyesho jana |
| Mwenyekiti wa SSPRA akizungumza na wageni waliotembelea banda la SSPRA jana |
| Wanacham wa SSPRA wakionyesha leso zilikuwa zimechapishwa nembo ya chuo cha Saut |
| Katikati ni Mhadhili Mulongo akisikiliza maelekezo toka katikabanda la maonyesho la SSPRA |
| Makamu mkuu wa chuo Padri pius mgeni akisoma kazi mbali mbali zilizochapishwa na SSPRA |
| Kuoka kulia ni mwenyekti wa SSPRA akizungumza na mgeni rasmi alivyotembelea katika banda la maonyesho la sspra |
| Wanachama wa SSPRA |
| Makamu mkuu wa chuo akiweka saini kaitka banda la maonyesho la SSPRA katika kitabu cha orodha ya wageni |
| Mgeni rasmi akizungumza na mwenyekiti wa SSPR jana |
| Mwenyekiti wa SSPR akizungumza na mgeni rasmi jana |
| Mwnyekiti wa Media and Publication akionyesha DVD ya mahafali ya mwaka wa tatu kwa waliotembelea katika banda hillo. |
| Wanachama wa SSPRA |
| Wanachama wa SSPRA |
| Wanachama wa SSPRA |
| Wanachama wa SSPRA |
No comments:
Post a Comment